Saturday, January 28, 2017

Msanii anayejifananisha na Harmonize Harmo Rapper alikuwa akihijiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo Cha East Africa Radio na kusema kwa sasa
yeye ni msanii mkubwa wa level za akina Fid Q na hawezi kujiunga na Wasafi hata kwa dau kubwa kiasi gani....

0 comments:

Post a Comment