Posted by Williammalecela.com on Sunday, January 22, 2017
Hivi
unakuwa na nia gani unakubali kupigwa picha kama hii kwa mkao huu tena
ndani ya Ofisi. na Kuamua kuiweka Mtandaoni huku si kujidhalilisha na
kuwafanya wale
waliokupa
mamlaka ya wadhifa ulionao ndani ya ofisi hiyo kuwafanya walikosea
kwakuwa akilizako si timamu na hukupaswa kuwepo hapo
Jamani wanaweke/wakina dada kuweni na mawazo pindi mfanyapo vitu vyenu. Kiukweli kwa sasa Tumewachoka na hii hali.
0 comments:
Post a Comment