Jana usiku wa manane mkali wa Bongo Fleva Diamond Platnumz alikuwa aki-stream live akipiga story na mashabiki wake katika mtandao wa Instagram.
Ndipo midadi zikampanda mkali huyo na kuamua kuwaonjesha kiduchu mashabiki zake ngoma yake ambayo haijaachiwa inayoitwa Baila.
Kama ilivyo team Perfect255 sio ya mchezo mchezo ilifanikiwa kukipata kipande hicho na kukitupia katika page yake ya mtandao huo wa Instagram ya @perfectotv. Chukua muda wako kuisikiliza kwa kuplay hii video hapa chini.
0 comments:
Post a Comment