"Nina
uhakika wote kuwa tukio lile litakuwa la mwisho kutoka kwenye ubongo
wangu. Watu walishangilia nilipoinama kuzoa damu ya mama'ngu sakafuni.
Nilishuhudia kwa macho wakichinjwa vibaya. Nilikuwa na miaka 8, sasa
nina miaka 96 wala sijasahau hata chembe". Mwanamama Myahudi Abigael
aliongea kwa uchungu mbele ya Camera katika video fupi iliyopata views
milioni 62 ndani ya masaa 42. "Baba, mama na ndugu wengine walichinjwa
mbele yangu, natamani nami ningeungana nao, lakini niliishia kuzoa damu
zao sakafuni" Abigael aliendelea.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment