Tuesday, January 24, 2017

Serikali za Tanzania na Uturuki zimesaini mikataba 9 ya ushirikiano wa kimaendeleo katika nyanja za Afya, Usafiri wa Anga na Viwanda. Rais Endorgan amualika Rais Magufuli kufungua ubalozi
nchini Uturuki.Amemuomba kusaidia kutokomeza watu waliotaka kumpindua madarakani.
Zaidi, tazama hii video ya hotuba zao

0 comments:

Post a Comment