Baada ya 50 Cent kuongea na Mike Tyson kuwa ame confirm naye kwamba atamfundisha Chris Brown katika pambano lake na Soulja Boy.
Sasa kupitia kurasa ya Mike Tyson ameamua kuongelea kuhusu ishu ya Chris Brown kwa kusema kwamba its official ameamua kusema kwamba atamfundisha Chris Brown na atamfundisha kila aina ya staili kwa ajili ya kumtoa Knock Out Soulja Boy.
0 comments:
Post a Comment