
Diamond Platnum na mpenzi wake Zari, wanategemea kufanya sherehe ya kuadhimisha arobaini ya mtoto wao Prince Nillan Feb28 2017 Dar es salaam
ikiwa ni baada ya kubadilisha na kuamua kufanyia Tanzania na sio South Africa kama ambayo ilisemekana mwanzo. Zari alithibitisha hivyo kupitia ukurasa wake wa Snapchat. Pia akawasihi watakaohudhuria kwenye shughuli hiyo wasivae madera wala sare.
0 comments:
Post a Comment