Chanzo : Udaku Special
Mfanyabiashara
mmoja huku Uk Amejikuta kipigwa na Butwaa Baada ya Madaktari kumwambia
Kuwa haumwi Cancer Kama alivyokuwa Akifiria Baada ya kila Mara Kupata
Haja kubwa na Mkojo zikiwa zimechanganyika na Damu, lakini kumbe ana
kizazi na hizo damu anazoona zikitoka kwa njia
ya
haja kubwa na mkojo ni pale anapokuwa katika Siku zake za Mwezini Ama
Period , Madaktari wamemwambia kwa hali hiyo hata kushika mimba anaweza
kama akitokea akitaka, Kwa sasa anajiandaa kwa upasuaji ili kuondoa
kizazi hicho

0 comments:
Post a Comment