Posted by Williammalecela.com on Friday, January 27, 2017
Baada ya kuwepo taarifa kwamba Jackline Wolper na Harmonize wameachana na hilo likipewa nguvu na post ya Wolper iliyoonesha hakuwa na mpango wa
kuendelea tena na uhusiano wake na Harmo, leo January 27, 2017 Wolper amepost picha ya Harmonize ikiwa na maneno “Done”.
0 comments:
Post a Comment