Wednesday, January 18, 2017

Katika hali isiyo ya Kawaida hivi karibuni huko Mbeya mtu mmoja amekamatwa akiwa na kichwa cha mtu.



Taarifa zinasema kuwa mtu huyo ambaye jina lake halikuweka kupatikanika mara moja alifukua kaburi la Mraehemu na kukikata kichwa hiko ambapo mara baada ya kumaliza tukio lake hilo alijikuta amezingirwa na Raia .

Zaidi tazama video Picha ya Tukio hilo jinsi lilivyokuwa.


0 comments:

Post a Comment