Saturday, January 14, 2017

Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Joti amerudia wimbo wa mwanamuziki Darassa unaokwenda kwa jina la Muziki.Huu ni wimbo uliofanya vizuri tangu ulipotoka mwezi Disemba mwaka jana hadi sasa. Wimbo huu ni wa Darassa
ambapo amemshirikisha Ben Pol ikiwa ni wimbo wao wa pili kuimba pamoja baada ya ule wa Sikati Tamaa
Burudika na video hapa chini:

0 comments:

Post a Comment