Friday, January 6, 2017

Image result for mwakibinga
Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM, James Rock Mwakibinga leo kupitia vyombo vya Habari ameomba msamaha kwa kudanganya kuwa Dkt. Emmanuel Nchimbi amefuja mali za Umoja wa Vijana wa CCM, UVCCM. 


0 comments:

Post a Comment