Posted by Williammalecela.com on Tuesday, January 03, 2017

Wiki hii habari za kumuhusu Young D kurudia
unga zilisambaa mitandaoni huku meneja wake
Maximilian akilalamika na kuonyesha kweli msanii
huyo kaanza kurudia matapishi yake
Kwenye planet bongo ya EA Radio Kalapina alifunguka
haya baada ya kuulizwa anampango gani yeye kama
mwanaharakati kwa msanii huyo (young d) ikiwa bado
hayajaanza kumuathiri sana "Young D mimi nishakuwa
nae siku za nyuma nishafanya nae cancelling sana lakini
ni mtu ambaye kwanza yeye mwenyewe si mtu ambaye
anajikubali unajua, haya mambo yanataka mtu ujikubali
kwanza wewe mwenyewe kwenye nafsi yako" alisema
kalapina "Ukikutana nae sasa hivi young D anakataa
atakuambia aah stant tu, lakini ukimuona unaona kabisa
huyu mtu mbona hasomeki
.
.
bongo alikazia na kumtaka @kalapina amsaidie Young D
kabla hajaathiriwa sana "Sasa inafaa umtafute mapema
zaidi kwasababu taarifa zinasema amerudi, kwasababu
tunapata uwezo wa kusema hivyo kwa maana page ya
instagram ya meneja wake amekuwa akilalamika na ameonyesha
haitaji tena kumsaidia anaona kama anapoteza muda hivi,
kwasabubu inasemekana dogo alikuwa akiagiza msosi usiku
vyombo (madawa ya kulevya) alikuwa anaviweka chini ya chipsi
yani chipsi zikija vyombo vinapigiliwa kwa chini halafu juu kiepe
kinakaa kwahiyo mlinzi akipewa mfuko ile anapeleka anajua oya
oya kumbe kaweka vitu ndani"
0 comments:
Post a Comment