Friday, January 20, 2017


Wazee walisemaga asiyefanya kazi na asile, Vyivyo hivyo na Mh. Rais aliendeleza msemo huo baada ya kuona vijana wengi wanabweteka na kushinda vijiweni bila kujishughulisha na mwisho wa siku wanaanza kuilalamikia serikali.


Mfalime wa mitandao ya kijamii yote bongo Lemutuz Nation a.k.a mkali wa kupiga kazi ameamua kuufata huo msemo wa kazi juu ya juu fainali uzeeni. sasa hivi ni mwendo wa kupiga kazi tu. cheki baadhi ya picha zake akiwa south africa kikazi.







0 comments:

Post a Comment