Tafiti
zinaonyesha kuwa kufanaya kazi zaidi ya masaa 55 kwa week hukuweka
katika hatari ya kupata ugonjwa wa kiharusi pamoja na magonjwa ya moyo
na akili.Hii hutokana na moyo, ubongo, neva za fahamu kufanya kazi kwa muda mrefu bila kupumzika hivyo kupunguza huwezo wa kufiri, kutoa maamuzi na kupunguza mzunguko wa damu na chakula kwenye mfumo wa fahamu.
0 comments:
Post a Comment