![]() |
LIVE
HARD TALK:- With my Bebezz Aisha Kama kawa maisha ni mafupi U know na
how to enjoy life and be Happy kila binadam ana chaguo lake ....ni
makosa makubwa sana in life kuamini kinachokufurahisha wewe ni lazima
kiwafurahishe wote Duniani na kwamba wasiofurahishwa na furaha yako wewe
basi hawana maadili au something else ....hahahahahha HAPANA infact huo
ndio UMBURULAZZZ wa ZERO BRAIN .....humlipii binadam yoyote maisha yake
so yaangalie kama hayafanani na unayoyataka songa mbele au badilisha
Channel ....ukitaka kukosa marafiki in life jifunze kuingilia ingilia
maisha ya watu wasiokuhusu Wazungu wanaita "BEING NOISE" wewe sio Mungu
relax utazeeka kabla ya your time cause umejitwisha UMUNGU MTU hahahaha
wacha watu WARE MAISHA U KNOW! - le Mutuz Nation


0 comments:
Post a Comment