Baada ya kumaliza kula mwaka mpya leo Le Mutuz Nation amerejea home Dar, kabla ya kuondoka Arusha asubuhi ya leo alipitia kwanza kwenye shamba la Super Bilioneaz Davis Mosha huko Nduruma Arusha Chini ambapo pia alikutana na Jeff anayeishi Australia. Le Mutuz amesharejea Dar tayari.
0 comments:
Post a Comment