Kaa mkao wa kula kukiona kipindi chako cha “Take One” upya January hii.
Host wa kipindi cha Take One kutoka Clouds Tv, Zamaradi Mketema ameamua kushare ujumbe wake wa tabasamu kwenye kurasa yake ya Instagram na mashabiki zake wa Take One kwa kuwakaribisha upya kwenye ujio mwingine January hii baada ya kumaliza likizo yake na TCRA ya miezi 3, katika kurudi huko Zamaradi amewakaribisha kwa ukaribu zaidi mashabiki kwa kuwataka kuchagua nini wanakipenda kukiona kwenye ujio huu.

0 comments:
Post a Comment