Baada ya miaka 11, hatimaye Klabu ya Manchester United imerudi kileleni mwa listi ya vilabu tajiri duniani. United imepata mapato makubwa kuliko timu yoyote katika msimu uliopita kulingana na taarifa zilizochapishwa na kampuni kubwa ya ukaguzi duniani (Deloitte).Manchester United imewashinda Real Madrid waliofanya vizuri katika michezo kwa miaka 11 baaada ya kukusanya mapato makubwa ya takribani Euro 689 katika msimu wa 2015-2016.Ukijumlisha vipato vya timu ishirini bora kwa msimu wa 2015-2016 vimeongezeka kwa asilimia 12% na kufikia euro billioni 7.4 hii haijawahi kutokea.Hii ni mara ya kwanza kwa Man U kushikilia nafasi hiyo tokea msimu wa 2003-04.
Hii ni mara ya kwanza kwa Man City kuingia katika 5 bora.
0 comments:
Post a Comment