Saturday, January 21, 2017

Mashabiki wa Arsenal wamlilia Sanchez baada ya kuandika ujumbe ambao umebeba hisia flani hivi ambazo zinaonyesha kama anataka kuiaga klabu hiyo.

Kama ulikuwa karibu na kurasa ya Instagram ya Sanchez najua utakuwa umekutana na ujumbe ambao umebeba hisia nyingi na comments kibao za mashabiki wakitaka Sanchez kuendelea kubaki Arsenal, ujumbe huo ulikuwa unasomeka kwamba “Strong people smile with a broken heart. They cry with the doors closed and fight battles that no one knows.” kwa lugha ya kiingereza.
Licha ya mashabiki kuhisi ujumbe huo unaashiria kwamba Sanchez anataka kuondoka Arsenal, lakini kwa upande wa pili inasemekana kwamba ni ujumbe cousin wake ambaye alifariki muda kidogo uliopita.

0 comments:

Post a Comment