Posted by Williammalecela.com on Saturday, January 07, 2017
Aliyekuwa meneja na mlezi wa Young D amefunguka mengi kwenye FNL ya EATV kumuhusu Young Dee na ikiwemo aliyehusika kufuta video yake #furaha
. "Unapofanya vitu kwa kushirikisha management vitu vikiwa kiofisi haviwezi kuharibika vikiharibika ofisi nitachukua responsibility ya kuvirekebisha" alisema Maximilian "tuliachia video halafu badae haipo YouTube lakini badae nikagundua kulikuwa na mtu ambae alikosana nae akawa na access ya password and then aka contact YouTube hii video sijui ina violate sheria baada ya hapo ikatolewa, so tume struggle kuirudisha ikashindikana"
Kwa upande mwingine meneja huyo amedai video mpya ya sasa ya Young Dee #youngdaddy haipo chini ya MDB lakini imetengenezwa na kukamilika wakati akiwa MDB
0 comments:
Post a Comment