Friday, January 6, 2017

Baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya Yanga mchezaji Mbuyu Twite ambaye anaweza kucheza kama kiungo amejiunga na timu ya Fanja ya Oman.

Twite ameshaanza mazoezi na timu yake hiyo ya mjini Muscat Oman, Twite aliitumikia klabu ya Yanga kwa miaka minne, mchezaji mwingine ambaye ni Mtanzania anayeichezea Fanja ni mshambuliaji Danny Lyanga wa Simba ambaye yuko kwa mkopo katika timu hiyo.

0 comments:

Post a Comment