Meli hiyo inatarajiwa kufanya safari zake na kutoa huduma za kubeba
abiria na mizigo ikiwemo magari kutoka Pemba kwenda Unguja hadi Tanga
mara moja kwa wiki.
Meli hiyo inatarajiwa kupunguza adha
ya uisafiri katika bandari hiyo sambamba na kurahisisha usafirishaji wa
mizigo, magari pamoja na abiria kupitia Bandari ya Tanga.
Muonekano wa meli hiyo kwa nje.








0 comments:
Post a Comment