Le Mutuz Nation asherehekea Mwaka wake mpya mjini Moshi at Meku Bistro akiwa na Mwanasheria maarufu Alberto Msando na Msanii maarufu Joh Makini. Walianzia Bistro na baadaye kumalizia at Redstone Night Club na leo mchana alirudi Arusha at the Gold Crest Hotel.
0 comments:
Post a Comment