Sunday, January 22, 2017

HAYA ni mashindano ya urembo yanayofanyika kila mwaka katika moja ya gereza la wafungwa huko nchini Brazil, waliyoanzisha mashindano haya wanasema wanawapa haki wafungwa nao wajisikie kama binadamu na si kama wanyama kwani muda mwingi wanakuwa
wanafanya kazi kwahiyo inakuwa sio mbaya kuwapa muda kidogo wajifurahishe katika mioyo yao na sio muda wote waonekane watumwa wa kazi.
Mshindi wa taji hilo anapewa uangalizi na zawazi za kutosha kutoka kwa waandaaji wa shindano hilo.

0 comments:

Post a Comment