RIDHISHWA na jitihada za kukamilisha madarasa
MKUU wa Mkoa wa Mbeya amekagua ukamilishaji wa madarasa kwa wanafunzi 406 waliokuwa wamekwama kuanza masomo kutokana na upungufu wa madarasa

Kati YA wanafunzi 406 walikosa nafasi kuanza masomo ni 192 madarasa yao yamekamilika na wanafunzi 214 madarasa yao yatakanikika ktk siku 14
Hivyo ili wanafunzi 214 wasiendelee kuchelewa ameridhia na kuagiza maabara ambazo zipo na hazijaanza kutumika kwa kukosa Vifaa sasa zitumike kama madarasa kuanzia jumatatu na baada YA madarasa kukamilika tr 30 januari wanafunzi hao watatumia madarasa hayo

Amezipongeza halmashauri za jiji la Mbeya na Mbeya vijijini kwa kuchangia ukamilishaji madarasa na amewashukuru wananchi na wadau kwa kuchangia ujenzi wa madarasa


0 comments:
Post a Comment