Saturday, January 7, 2017

Awataka madiwani na wananchi kuheshimu mipaka iliopo sasa
AHAIDI serikali iitaashirikiana na viongozi wa Vijiji, kata na wananchi kutafsiri mipaka vyote kwa kutumia GN namba 28Mkuu wa mikoa was Mbeya Amos Makalla amewataka viongozi na wananchi wanaishi jirani na hifadhi YA Ruaha kuheshimu mipaka iliopo ili kulinda HIFADHI hiyoHayo ameyasema katika kikao cha pamoja na madiwani wa Halmashauri YA Mbarali kati ziara zake za kikazi
Kuendelea kuingia hifadhini kufyeka misitu, kuwinda na kuchepusha Maji toka hifadhini ni kukiuka sheria YA uanzishaji wa hifadhi hiyo

Amewataka wananchi kusubiri mpango wa serikali kutafsiri upya mipaka yote kwa mujibu wa GN 28 ili kujua mipaka halisi badala YA sasa kila mwananchi anaamini mipaka yake kwa anavyoelewa yeye na hali hiyo iendelee vi umbwe vyote vilivyopo hifadhini vitakuwa hatarini

0 comments:

Post a Comment