Monday, January 30, 2017

Image may contain: 2 people, people smiling, people standing and suitAngoza kikao cha wafanyabiashara na wenye viwanda mkoani Mbeya Mkoa wa Mbeya ni Mkoa wa Tatu kwa kuchagia pato la Taifa baada ya Dsm na Mwanza ujenzi wa meli Tatu, kukamilika kwa uwanja wa Ndege wa Songwe kutachochea Image may contain: 3 peopleukuaji wa uchumi na utalii Aagiza wakuu wa wilaya kuwa na vikao na wafanyabiashara ili kujua changamoto zao na kuzitatua  Awataka wakurugenzi kutenga maeneo kwa ajili YA wajasiriamali na viwanda AITAKA Mamlaka YA mapato Image may contain: 1 person, standing, sitting, suit and indoorkutoa Elimu kwa walipa kodi ili walipa kodi waelewe mambo mbalimbali na kufanya hivyo kutarahisisha ulipaji kodiImage may contain: 1 person, sitting and indoorImage may contain: 5 peopleImage may contain: 2 people, people sitting and indoor

0 comments:

Post a Comment