Tuesday, January 3, 2017

Image may contain: 1 personAzitaka halmashauri kupanga bajeti kwa kuzingatia ilani YA Chama cha mapinduzi
- Halmashauri zizingatie sheria na taratibu za Fedha ili halmashauri hizo zipate hati safi 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla amezitaka halmashauri zote mkoani Mbeya kutenga Fedha asilimia 10 YA mapato YA ndani kwa ajili YA mikopo nafuu kwa Vijana na wanawakeImage may contain: 1 person
Hayo ameyasema Leo kwenye vikao vya kujadili TAARIFA YA mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali katika halmashauri za Busokelo na RungweImage may contain: 2 people, people sitting
Aidha amewataka watendaji kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria na taratibu za Fedha ili halmashauri hizo zipate hati safi Image may contain: 2 people, people standing and suit
Ameelekeza bajeti zote ziandaliwe kwa kuzingatia ilani YA UCHAGUZI YA Ccm kwa kuwa ndicho Chama kilichopata ridhaa YA wananchiImage may contain: 3 peopleImage may contain: 4 people, people standing, suit and outdoorImage may contain: 2 people, people standing and sunglasses

0 comments:

Post a Comment