Sunday, January 15, 2017



Mrembo Amber lulu Anadai kwamba kwasasa amejikita zaidi kwenye Muziki
! Mambo ya Umodel/Video Vixen Piga Chini! Mwenyewe anadai hayalipi sana....Tegemea kusimia nyimbo za mrembo huyo hivi karibuni..Unakipi cha kumshauri wewe kama Mdau!?

0 comments:

Post a Comment