Sunday, January 22, 2017


Kwa muda sasa watu wamekua wakipendelea kupiga picha kwa mtindo wa ‘selfie’ na imekuwa ni kitu cha kawaida lakini kilichoishangaza dunia ni aina ya selfie ama picha anazopiga mrembo huyu kutoka Russia, Angela Nikolau

ambaye amejipatia umaarufu kupitia picha hizoAngela Nikolau ameonekana akipozi katika madaraja marefu, mapaa ya nyumba, majengo marefu sana huko Moscow, Hong kong na China. Picha zake zimekua na utofauti mkubwa kwani amekuwa akizipiga katika maeneo ambayo watu wengi hawawezi kuthubutu.






























ULI

0 comments:

Post a Comment