Thursday, January 26, 2017

Licha ya kufungua jalada la Talaka mwezi uliopita kutoka kwa T.ITiny ameamua kufunguka juu ya T.I na kumuhitaji kurudi.

Taarifa hiyo ya Tiny ilinyakwa wakati alipokuwa live na kuamua kujibu maswali ya mashabiki wake ambapo moja ya swali aliloulizwa ni kuhusiana na mumewe T.I, moja ya majibu ambayo alikuwa akiyatoa kuhusiana na comment hiyo alifunguka kwamba “He need to come on back to me. I’m where I’m ‘posed to be at, He need to come back to me, baby” Alifunguka Tiny.
T.I na Baby Mama wake Tiny wamekuwa pamoja kwa takribani miaka 20 ya kwenye ndoa, licha ya T.I kuwa mkimya juu ya ishu hiyo kila anapoulizwa kuhusiana na kutengana na mke wake, jibu lake huwa ni moja tu kwamba “That ain’t your business,”

0 comments:

Post a Comment