Wednesday, January 25, 2017

Moja kati ya story ambazo zili make headlines kinoma noma siku ya jana ni pamoja na ile ya mwanadada Amber Lulu kufunguka kuwa amewahi kushika ujauzito wa msanii wa muziki Barnaba.

Amber Lulu alifunguka hayo wakati akiwa kwenye exclusive interview na The Red Chair, kama ilikupita play video hii hapa chini kuitazama.

Sasa Bongo Star Exclusive imemkamata Barnaba Boy kwenye exclusive interview na kuweza kupiga nae story kuhusiana na suala hilo.
Unataka kukijua alichokijibu? Play hii video hapa chini ili kumsikiliza Barnaba akizungumzia issue hiyo.

0 comments:

Post a Comment