Moja kati ya vitu ambavyo vimeteka hisia za watu wengi siku mbili hizi ni hii story za mastaa wawili wa Bongo Fleva Noorah na Cpwaa kusema kuwa wametokewa na aliyekuwa mkali wa freestyle Bongo marehemu Albert Mangwea.
Perfect255 imepiga story na Noorah na amefunguka kila kitu na kutuelezea jinsi ilivyokuwa ndoto hiyo. Play hii video hapa chini kumsikiliza Noorah akihadithia jinsi alivyoota kwenye ndoto hiyo mwanzo hadi mwisho.
0 comments:
Post a Comment