Posted by Williammalecela.com on Wednesday, January 11, 2017
Taarifa iliyopo mezani kutokea mwanza ni kwamba usiku wa jana kuamkia leo shilole ambae siku hizi anajiita shishi trump na nuh mziwanda wameonekana wakikisi live.
Kupitia Planet Bongo ya EA Radio nuh kwa upande wake amenyoosha maelezo kuhusu taarifa za kuonekana akikisi na mpenzi wake wa zamani maisha club mwanza
"Aah mimi nimekutana nae tu, mimi nimekuja mwanza kwenye show zangu kimpango wangu ile club halafu sasa club huwezi kumkataza mtu kuingia kwasababu nuh kaingia, kwahiyo ni jambo la kawaida, mimi mwenyewe nikaambiwa humu yupo kaingia, mimi nilitake easy kwasababu mimi nilienda kufanya kazi na yeye kaenda kufanya kazi kimpango wake, kwahiyo hayo maneno mengine yanayoongeleka ni maneno mengine ambayo mimi kiukweli siyajui na siyafahamu"
Hitmaker huyo wa wimbo wa jikeshupa amemaliza kwa kusema ameoa na anajiheshimu kwahiyo mwanza ameenda kwaajili ya kutafuta pesa tu
0 comments:
Post a Comment