Wednesday, January 18, 2017

Shilawadu wamezinyaka za chini ya carpet kuhusu mastaa wawili wa muziki wa Bongo Fleva Shilole na Nuh Mziwanda kurudiana kimapenzi kwa siri.

Inasemekana walionekana wakiwa pamoja mkoani Mwanza wakati Nuh Mziwanda akiwa na show mkoani humo. Shilawadu walienda mbali zaidi hadi kudai kuwa wawili hao walifikia katika chumba kimoja cha hoteli.
Soudy Brown amepiga story na Nuh Mziwanda kuhusiana na uvumi huo, ila kama ilivyo tarajiwa Nuh Mziwanda amekanusha vikali kuhusiana na uvumi huo.

0 comments:

Post a Comment