Wednesday, January 18, 2017

P Funk Majani ametusanua kuwa picha lilianza mwaka 2007/08 kwenye deal la Push Mobile nchini Kenya kuwepo na pesa nyingi kutokana na beat yake kutumika kama ringtone nchini humo, na ni zaidi ya million 24 ambazo inasemekana Jose Chameleone alizivuta kama zakwake.

Picha linaendelea kwenye movie ya Queen of Katwe ambayo muhusika mkuu wa movie hiyo ni mwanadada Lupita Nyong’o ambapo ndani ya movie hiyo kuna beat ya P Funk ambayo pia imetumika kama sound track. Taarifa zinasema kuwa katika mchongo huo pia Jose Chamelione amechukua mtonyo na kujimilikisha kama wakwake wakati kilichotumika humo ndani ni beat.
Perfect255 imefanya exclusive unterview na producer P Funk Majani na kupiga nae mastory kibao kuhusiana na mchngo huo , amefunguka mengi sana

0 comments:

Post a Comment