Saturday, January 7, 2017

P zone mc msanii kutoka micharazo ya mr blue  amefunguka kwenye FNL ya EATV na kudai Man  water alitaka Diamond ndio ashirikishwe kwenye ngoma ya Mr blue #mbogasaba
.
"Man water alitaka diamond aingize vocal kwenye wimbo wa mr blue lakini haikuwa hivyo, Mr blue alitaka kiba afanye kitu zaidi na tulipompigia simu kiba alifanya heshima kubwa zaidi mimi mwenyewe sikutegemea"

Hata hivyo Pzone Mc aliongeza kwa kusema Man water alitaka kifanyike kitu zaidi ya pale alipofanya ALIKIBA  na ndio maana katafutwa mwanadada aingize tena sauti kwenye kolabo hiyo 

0 comments:

Post a Comment