Mapicha picha ya Breezy na Soulja boy yanazidi kuendelea huku wakiwemo watu mbalimbali nao kuonekana kuingia na wengine kuingizwa kwenye tifu hilo. Tumeona watu kama 50 Cent, Floyd Mayweather, Tyson kujiingiza kwenye tifu hilo nakutoa suport zao.
Jana Rapa maarufu nchini Marekani Soulja Boy aliposti picha mbili akiwa na mwanamke mrembo anaejulikana kwa jina la Cydney Christine ambae kwa kipindi cha nyuma miaka ya 2012-2013 alikuwa kwenye mahusiano na Chris Brown.
Hizi ni baadhi ya picha za Cydney Christine
Mchongo mzima ulikuwa kwenye caption ambapo Soulja Boy kwenye picha hizo alizo’post aliandika “Aye Chris i fucked ya bitch” na post nyingine aliandika “Took that Nigga Bicth” hii yote ikiwa ni muendelezo wa bifu yake na Breezy.
Post yakwanza ujumbe ulisomeka “Aye Chris i fucked ya bitch”
Sasa mwanamke huyo akaona kitendo cha yeye kuitwa Ma**ya tena kwenye mtandao wa Instagram, ambapo Soulja Boy anamashabiki zaidi ya Milioni 3, kama ni udhalilishaji, Cydney Christine akaamua nae kufunguka juu ya Post ya Soulja Boy kwa kuandika manaeno haya.
Post ya Cydney Christine ilisomeka hivi
Mpaka sasa Chris Brown bado hajasema lolote kuhusu kitendo hicho kutoka kwa Soulja Boy.






0 comments:
Post a Comment