Posted by Williammalecela.com on Friday, January 13, 2017
Unaweza kujiuliza kwanini wasanii WCB hukutani nao sehemu za mbalimbali za burudani, wanakaza au wameamua tu sasa first lady wa label hiyo Queen Darleen ameamua kutoboa ukweli halisi kupitia 255 ya XXL
"Asikuambie mtu pale protoko ofisi ni kama ilivyokuwa clouds fm na ndivyo ilivyokuwa pale utacheka na ruge utaongea nae lakini kwenye kazi ukikosea lazima mkondo wake upite pale pale unapotakiwa kupita na ndio maana unaona hata sisi descpline yetu hatutakiwi kutoka kwenye mastarehe hatutakiwi kuzurula hovyo muda wote tupo ofisi, sisi tuna hamu ya kuruka muziki" alisema Queen darleen
Queen Darleen ambae kwasasa anatamba na wimbo wake wa KIJUSO aliyomshirikisha memba mwenzake kutoka WCB amemaliza kwa kusema bila nidhamu WCB isingefika pale
ilipo
0 comments:
Post a Comment