Dai hilo ambalo amewahi kulieleza kwenye Twitter limewahi kupingwa vikali kutokana na kutokuwa na ukweli wowote. Trump alipata kura 304 za wachaguaji (electoral college) kumfanya aingie Ikulu huku akiwa nyuma kwa zaidi ya kura milioni 3 za kawaida dhidi ya mpinzani wake Hillary Clinton.
Kwa mujibu wa gazeti la New York Times, Trump alitumia mkutano huu kujisifia kuhusiana na ushindi alioupat
0 comments:
Post a Comment