Monday, January 9, 2017

Rais mpya wa Ghana, Nana Akufo-Addo ameanza uongozi wake kwa kuzichukua headline kwenye mitandao ya kijamii baada ya jumamosi wakati akiapishwa kutoa hotuba ambayo sehemu yake imeonekana kufanana na hotuba ya Rais wa zamani wa Marekani, George Bush.

Hata hivyo mkurugenzi wa mawasiliano ofisi ya Rais wa Ghana ameomba radhi kwa kile kilichotokea. Unaweza kuitazama hapa chini.

0 comments:

Post a Comment