Friday, January 20, 2017

Licha ya Rais Barack Obama ambaye anamalizia siku yake, aliwatangazia wananchi wake kwamba watakuwa salama licha ya kumaliza mwaka wake, rapper T.I ameamua kuposti picha inayoonyesha kufanya maandamano ya kupinga kuapishwa kwa Donald Trump.

Baada ya kuachia barua yake kwa Donald Trump, T.I ameamua kutumia kurasa yake ya Instagram kwa kuposti picha yenye ujumbe wa “THE ANTI INAUGRATION” ambayo imesindikizwa kwa caption ya All who disagree… show 
⬆️
 & go 
⬆️
!!! #WeThePeople Resist Oppression #USorELSE

0 comments:

Post a Comment