Siku chache zilizopita rapper Stereo alimake headlines baada ya kufanya interview na AyoTV na kufunguka yake yamoyoni juu ya hisia zake za kimapenzi kwa rapper wa kike Chemical.
Perfect255 imemkamata mwanadada Chemical kwenye Exclusive Interview na kuweza kupiga nae story kuhusiana na mapokeo yake ya hisia za Stereo.
Chemical amefunguka kutopendezwa na kitendo cha rapper huyo na hivyo kudai kwamba kama angekuwa na nia kweli angemfuata uso kwa uso kuliko kuutangazia umma kwenye media.
0 comments:
Post a Comment