Kwa ushindi huo, mchezaji huyo wa Marekani amechukua taji lake mchezaji nambari moja wa mchezo huo lililokuwa ikishikiliwa na Mjerumani, Angelique Kerber.Mchezaji wa Australia Margaret Court, mwenye vikombe 24, ndiye mchezaji pekee aliye juu ya Serena katika mataji Grand Slam ya mchezaji mmoja mmoja.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment