Mpaka sasa hatujaona chochote kile kutoka kwenye kurasa ya Instagram ya Wema Sepetu, licha ya hayo yote Wema Sepetu amefanikiwa kupata tiki ya blue (Verified) kwenye akaunti yake ya Twitter.
Mrembo huyo ambaye amekuwa kimya kwa muda mrefu katika kurasa zake za mitandaoni, zaidi ya kuona posti zake mbili kwenye kurasa yake ya Twitter, Good Newz ni kwamba Wema Sepetu anaungana na listi ya wasanii kama Diamond, Vanessa Mdee, Alikiba, Shetta na wengine kibao kwenye mtandao huo wa Twitter ambao wamekuwa verified.


0 comments:
Post a Comment