Monday, January 2, 2017


Tanzia
Muigizaji  kijakaz pazi shabani (ZAMZAM) Amefariki jana mkoani kigoma

Mwili wake unasafirishwa kuja mkoani Dar es salaam

Msiba upo Sokota karibu na sheli. Temeke

Kwa wale.waliomsaau  alikuwa kundi la kidedea alicheza tamthilia ya  mchezo wa kidedea yeye na marehemu Tabia baba yao alikuwa mzee jengua,

Nawaomba wasanii wote tujumuike kwa pamoja kwenye msiba tukawafariji wafiwa

Taratibu za mazishi tutataarifiana

0 comments:

Post a Comment