Katika mechi za ufunguzi Kombe la AFCON,
leo michezo miwili itapigwa ambapo wenyeji Gabon watakuwa wakimenyana
na Guinea-Bissau saa 1:00 usiku kwenye Uwanja wa Angondje huku Burkina
Faso wakikipiga na Cameroon saa 4:00 usiku kwenye uwanja huohuo.


Diamond akiwa katika picha ya
pamoja na Rais Ali Bongo wa Gabon pamoja na msanii wa Nigeria, David
Adekeye ‘Davido’, Akon pamoja na wasanii wengine na watoto nchini humo.

Rais wa nchi Gabon, Ali Bongo akisalimiana na Diamond Platnumz.

Diamond Platnumz akisalimiana na Akon.

0 comments:
Post a Comment