Sunday, January 15, 2017


Jumamosi hii Diamond Platnumz na dancers wake, akishirikiana na wasanii wengine akiwemo Mohombi na Lumino, walitumbuiza kwenye ufunguzi wa kombe la AFCON
2017 nchini Gabon. Tazama video hiyo chini

0 comments:

Post a Comment