Tuesday, January 3, 2017



Upungufu wa nguvu za kiume ni Ile Hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa na pia hushindwa kukamilisha tendo la ndoa kwa ufasaha

Tatizo hili linawakabiri wanaume wengi duniani karibia 46% ya wanaume wanasumbuliwa na tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume na hivyo kuwa na athari nyingi sana na kusababisha ndoa za watu kuvunjika na idadi ya uchepukaji kuongezeka,
Mara nyingi mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume anakua Hana uwezo wa kumridhisha mwanamke Kwenye tendo la ndoa na hivyo kuwa chanzo cha mahusiano na ndoa nyingi kuvunjika.

CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME 
Vyanzo vya upungufu wa nguvu za kiume ni vingi sana navyo ni ÷


  1. UPIGAJI PUNYETO MARA KWA MARA
  2. MSONGO WA MAWAZO(STRESS)
  3. MAZINGIRA YASIYORIDHISHA KUFANYA TENDO LA NDOA
  4. ULEVI ULIOKITHIRI
  5. KUPOOZA( STROKE)/KUUGUA KISUKARI KWA MUDA MREFU
  6. ULAJI MBOVU WA VYAKULA HASA VYAKULA VYENYE MAFUTA MENGI 
  7. KUTUMIA DAWA ZA KEMIKALI eg, viagra, estrogen, diuretic, tranquillizers, digoxin, NK
  8. KUUMIA KWA KINENA (GROIN) 
  9. KIWANGO KIDOGO CHA TESTERON 
  10. KUUGUA CHANGO LA KIUME AU NGIRI



DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME 
Mwanaume anayekabiliwa na tatizo Hilo la nguvu za kiume huwa na Dalili zifuatazo


  • HUKOSA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA ~huwa Hana uwezo wa kutamani kufanya tendo la ndoa, tatizo hili husababishwa na msongo wa mawazo 
  • KUTOKUA NA UWEZO WA KUSIMAMISHA UUME ~Hali hii hutokea kutokana na kutokuwepo kwa mzunguko wa damu wa kutosha Kwenye uume 
  • UUME HUSINYAA NA KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA ~uume wa mwanaume husinyaa na kuwa mdogo na kurudi ndani hivyo huwa Hana uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa, Hali hii husababishwa na upigaji punyeto kwa muda mrefu 
  • KUFIKA KILELENI MAPEMA ~mwanaume hushindwa kufanya mapenzi kwa dakika hata 15 hivyo huwahi kupeez ndani ya dakika 5 
  • KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA ~mwanaume hushindwa kurudia mzunguko wa pili hivyo akifika mzunguko wa kwanza  anakuwa Hana uwezo wa kuendelea, Hali hii husababishwa na kutokua na msukumo wa damu wa kutosha



MADHARA YA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
KUSABABISHA KUPATA UKIMWI ~hii hutokana na wanawake kutokuweza kuvumilia tatizo hili na hivyo kutoka nnje ya ndoa kutimiziwa haja zake

KUWA MLEVI ~Mara nyingi wanaume wenye tatizo hili hukata Tamaa mapema na kuamua kujihusisha na pombe kwa madai ya kupunguza stress

KUVUNJIKA KWA MAHUSIANO AU NDOA ~mwanamke hushindwa kuvumilia tatizo hili na hivyo kuamua kuvunja mahusiano au ndoa kwa madai ya kutopewa haki yake ya msingi
KIFO ~baadhi ya wanaume hufikia hatua ya kujiua kutokana na kusumbuka sana na tatizo hili kwa muda mrefu hvyo hujiona Hana thamani

JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU
Jambo zuri ni kuzingatia afya yako na kujiwekea balance diet Kwa kufanyanya na kuzingatia yafuatayo,, ...


  •  KULA UGALI WA DONA NA MBOGA ZA MAJANI KILA SIKU
  •  KUNYWA SUPU YA PWEZA MARA KWA MARA
  •  FANYA MAZOEZI MARA KWA MARA
  •  EPUKA VYAKULA VYENYE MAFUTA MENGI
  •  ACHA KUJIPIGA PUNYETO
  •  ACHA KUTUMIA DAWA ZA KEMIKALI (VIAGRA) HAPA INABIDI UTUMIE DAWA ZA KIASILI
  •  PUNGUZA KITAMBI NA MWILI 



Makala hii imeandaliwa na Dr Naytham Salum
Email-nsalum998@gmail.com


0 comments:

Post a Comment